Month: December 2023
Hospitali Tumbi ina uhitaji wa damu lita 200, tukachangie kuokoa maisha ya wenye uhitaji -Gemela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KITENGO cha damu salama Tumbi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, inatumia chupa 15 kwa siku sawa na chupa 450 za damu kwa mwezi ,hivyo uhitaji wa lita 200 ili kukidhi mahitaji. Kuelekea siku…
Kipindupindu chauwa wanne Buchurago Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watu wanne wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Buchurago kata ya Bugorora wilayani Missenyi mkoani Kagera huku wengine wanne wakilazwa katika Hosptali ya St.Tereza. Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa amesema serikali inaendelea na…
CCM ‘yawashika mkono’ waathirika mafuriko Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, ‘kuwashika mkono’ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na…
Tume ya TEHAMA yapeleka wabunifu saba kongamano la Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuhakikisha inakuza ubunifu kwa kampuni changa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini, Tume ya Tehama (ICTC) imefanikisha safari ya wabunifu saba kwenda Algiers, Algeria kushiriki katika kongamano la kimataifa la…