JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2023

Benki ya NMB yasaidia waathirika wa mafuriko Hanang

Waathirika wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya NMB. Misaada hiyo inajumuisha magodoro, vyakula na vifaa vingine, ikiwa lengo ni kutoa msaada muhimu baada ya janga hilo….

Taswira mbalimbali za athari za mafuriko ya matope na mawe Katesh na Hanang

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu, Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ntuli Kapologwe pamoja na Timu ya Wataalam wamefanya tathmini ya anga kuona athari ya mafuriko…

Wajumbe bodi ya JKCI wakutana jijini Dar

 Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya  Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge akitoa taarifa ya utendaji wa kazi zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu ya Julai…

Makamanda 1267 waendelea kutafuta miili Hanan’g, misaada yote kuelekezwa Ofisi ya Waziri Mkuu

Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Hanan’g Jumla ya makamanda wapatao 1267 wanaendelea na shughuli mbalimbali katika eneo la wahanga wa maporomoko ya udongo yaliyotokea Novemba 3,2023 huko wilayani Hanang, ambapo kufuatia zoezi linaloendelea wamefanikiwa kuipata miili mingine miwili na kuweka jumla ya…

Katibu Mkuu Uchukuzi aagiza TMA itangaze mafanikio kikanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius. W. Kahyarara ametembelea banda la maonesho la TMA katika Mkutano wa 16 wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini (16th JTSR) unaofanyika jijini Arusha, na kuagiza…

Waziri ashuhudia kazi ya kuzoa tope ikianza, atembelea majeruhi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati hadi Singida. Akizungumza na mamia ya wakazi wa mji huo,…