Month: December 2023
Serikali yawataka watumishi kujiepusha makampuni ya kausha damu
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI mkoani Geita imewataka watumishi wa umma wajiepushe na mikopo ya kinyonyaji kutoka kwenye baadhi ya makampuni binafsi ya ukopeshaji fedha badala yake watumie vyama vyao vya kuweka na kukopa Saccos. Mrajis msaidizi wa Ushirika…
Rais Dk Samia kukabidhi dawa na vifaa tiba vya sh.bil. 1.7 Mvomero,
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mvomero Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amefunga kazi Mvomero kwa Serikali kukabidhi dawa na vifaa tiba vya zaidi ya sh. bilioni 1.61. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Judithi Nguli wakati Bohari ya Dawa…
Tulia : Majeruhi wa mafuriko Hanang wote wametibiwa Manyara bila rufaa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa uboreshaji wa huduma za afya nchini na kufanya majeruhi wote wa mafuriko ya Hanang kupata huduma Mkoani Manyara bila kupewa rufaa….
Karakama ATCL yapunguza gharama za matengenezo ya ndege
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile akitoa maelekezo kwa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) wakati alipotembelea karakana ya ndege inayomilikiwa na Shirika hilo iliyopo katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro Mkoani Kilimanjaro. Serikali imesema uwepo wa…
Mafuriko Kilosa yasababisha mtu moja kufariki, kaya zaidi ya 150 zakosa makazi
Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 Idd Abdalah amefarikia dunia kwa kuburuzwa na maji huku Kaya zaidi ya 150 katika Kata ya Mvumi na Ludewa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro zikikosa makazi baada ya nyumba zao kujaa…
Waziri Majaliwa : Serikali inatoa huduma bure waathirika wa maporomoko Hanang
Na Paschal Dotto, JamhuriMedia, MAELEZO- Hanang Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutoa huduma muhimu katika maeneo yote yaliyoathiriwa na kuporomoka kwa udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoani Manyara. Akizungumza katika mkutano wa Wananchi, Waziri Mkuu,…