Month: December 2023
MSD yakabidhi vifaa vya sh.mil. 114 kwa kituo cha afya Mtae zilizotolewa na Serikali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Serikali imetoa Sh.Milioni 114 kwa Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga ambazo zimetumika kununulia vifaa tiba kupitia Bohari ya Dawa (MSD) na hivyo kinatarajia kuanza kutoa huduma ya upasuaji mwishoni mwa…
Tanzania yapiga hatua utekelezaji wa ajenda ya Afrika 2063 – Dk Biteko
Gaborone – Botswana Imeelezwa kuwa, Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye utekelezaji wa makubaliano ya Ajenda 2063, ya kuifanya Afrika kuwa mahali pa ndoto yetu kuelekea Afrika tuitakayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko…
Wizara 13 zawafariji waathirika wa mafuriko Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali,Mobari Matinyi amesema wizara 13 za Serikali zimeshiriki katika kufanikisha kazi ya kurudisha hali ya waathirika kutoka Hanang mkoani Manyara. Ambapo amesema moja ya wizara iliyotumika…
Rais Samia anogesha Prof Jay Foundation kwa Sh Mil 50
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Profesa Jay Foundation iliyochini ya msanii, Joseph Haule maarufu Prof Jay inayosaidia wagonjwa wa figo. Pia amesema kuwa endapo itafikia hatua ya kutaka kumpandikiza Profesa Jay figo…
Serikali yapiga jeki utendaji Newala
Serikali imekabidhi vitendea kazi mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara ili kurahisisha utendaji kazi kwa watumishi wa halmashauri hiyo. Akikabidhi vitendea kazi hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Rajabu…
Waziri Mkuu azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa wananchi ni wadau muhimu sana katika mapambano dhidi ya vita hiyo. “Ninyi ni wadau wakubwa wa kukomesha rushwa. Nyie ni wadau wakubwa wa kukomesha vitendo vya…