Month: December 2023
Franone Mining wasaidia vyakula vya mil.31/- waathirika wa mafuriko Simanjiro
#Kaya 55 zakosa mahali pa kuishi Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mwekezaji mzawa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Franone Mining inayomiliki Kitalu C Onesmo Anderson Mbise wa machimbo ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ametoa…
Urejeshaji hali Hanang waendelea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’ Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko…
Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya umeme
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Uchukuzi Professor Makame Mbarawa afanya ziara fupi ya kuona majaribio ya kichwa cha treni ya umeme cha reli ya kiwango cha kimataifa – SGR kilichopo kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam…
NIDA waanza ugawaji vitambulisho Mkoa wa Dar es Salaam
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwajulisha wananchi katika Wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam kuwa ugawaji wa vitambulisho kwa umma unatarajia kuanza tarehe 12/12/2023 katika wilaya zote za mkoa huo. Hivyo, wananchi wote waliosajiliwa na kupatiwa Namba…
Bashe :Maafisa ugani wapatikane kwenye vituo
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe (Mb) amewataka wakurugenzi wa Halmashauri zote nchi kuhakikisha maafisa Ugani wanapatikana katika vituo vyao vya Kazi kama ilivyo kwa walimu. Bashe ameyasema hayo leo hii akiwa mkoani Tanga ambapo ameanza ziara yake ya kikazi…
Kinana azuru kaburi la Hayati Rais Magufuli
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John…