JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2023

Serikali ipo mbioni kutengeneza mfumo wa taarifa za soko la ajira

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI ipo mbioni kutengeneza mfumo wa kitaifa wa kielekroniki wa Taarifa za soko la ajira utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni 346.9 kwa ajili ya kuwezesha ukusanyaji wa taarifa kuanzia ngazi ya Wilaya hadi Taifa. Hatua hiyo imelenga…

Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu alimjulia hali Mchungaji Donald Lema ambaye amefanyiwa upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) katika Taasisi ya…

Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika JKCI

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete(JKCI) kwa kushirikiana na madaktari kutoka India wamefanikiwa kubadilisha valvu ya moyo bila kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa mara ya kwanza nchini . Upasuaji huo ujulikanao kuwa wa tundu…

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar watembelea MSD

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar pamoja na Uongozi wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar leo wametembelea Bohari ya Dawa (MSD) kubadilisha uzoefu katika masuala ya mnyororo wa ugavi wa…

Chalamila bandari kavu kusaidia kupunguza msongamano wa mizigo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Desemba 13, 2023 amekutana na uongozi wa Bandari na viongozi wa Bandari kavu (ICD) kujadili michakato ya kuondosha mizigo Bandarini. RC Chalamila amesema kwa sasa…