Month: December 2023
Wenye chumvi pelekeni kiwanda cha Neel – Mahimbali
#Kiwanda kinauwezo wa kuzalisha tani 600 za chumvi kwa siku #Kimetoa ajira kwa zaidi ya wafanyakazi 500 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wito umetolewa kwa wazalishaji wa madini ya chumvi nchini kupeleka malighafi hiyo katika Kiwanda cha Neelkanth Salt Limited…
Mpango : Uhusiano wa Tanzania na Saudi Arabia waimarika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okeish, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 19 Desemba 2023. Katika mazungumzo hayo, Makamu…
Ajali yaua kichanga cha miezi sita, mwanamke mmoja baada ya basi kutumbukia mtoni Kisarawe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mwanamke mmoja (35-40)pamoja na mtoto wa miezi sita wamefariki dunia iliyotokea Daru Mzumbwi Kisarawe ,baada ya basi lenye namba za usajili T 275 DRZ aina ya tata kutumbukia kwenye mto na kusababisha vifo hivyo. Aidha…
Waziri Mkuu apokea mil.10 za maafa Katesh
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania , Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum (kulia) na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dkt. Mhasa Ole Gabriel kwa ajili…
Chalamila ataka TRA kufanya operesheni maalum ya elimu kwa mlipa kodi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Desemba 18, 2023 wakati wa mkutano maalum wa kimkakati na watumishi wa TRA katika Ukumbi wa Suma JKT, Mwenge-DSM. RC Chalamila amesema…