JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Pinda : Mamlaka za upimaji shirikianeni na Wizara ya Ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imezitaka taasisi zilizopewa mamlaka ya upimaji kuhakikisha zinashirikiana na Wizara ya Ardhi pale zinapokwenda uwandani ili kusaidia kuondoa migogoro inayoweza kuanzishwa kutokana na kutojua uhalisia wa mipaka. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ardhi…

Dk Kisenge : Leteni wagonjwa wa moyo JKCI msiwapeleke nje ya nchi

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Madaktari nchini wameombwa kuwapeleka wagonjwa wenye matatizo ya moyo  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu na siyo nje ya nchi kwani Serikali imewekeza vya kutosha katika vifaa tiba…

PPRA,TAMISEMI kuwafunda matumizi ya mfumo NeST

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA)kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (TAMISEMI)wameandaa semina kazi kwa ajili ya kuhakikisha wakurugenzi wanazingatia sheria za manunuzi kupitia Mfumo wa ununuzi wa Umma wa kielektroniki ujulikanao kama NeST…

Wazazi waaswa kujenga ukaribu kwa watoto ili kufichua yanayowakabili

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WAZAZI na walezi Mkoani Pwani wameaswa kujenga ukaribu kwa watoto wao pamoja na kuwapa haki ya kujieleza pale inapobidi ,ili waweze kufichua Yale ambayo yanawakabili hasa kwenye vitendo vya unyanyasaji wa watoto. Aidha jamii imetakiwa…

Mchatta: Walimu wa kiingereza watakiwa kusambaza ujuzi wa somo hilo kwa wengine

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katibu tawala wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ametoa wito kwa Walimu wa msingi wa somo la Kiingereza (English) ,kusambaza ujuzi wa somo hilo kwa walimu wenzao katika kipindi hiki ambacho Serikali inatarajia kutekeleza mtaala…

Angalia matokeo darasa la saba 2023

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), leo Novemba 23, 2023 limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13- 14 mwaka huu. Katika matokeo hayo jumla ya watahiniwa 1, 092, 960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1, 356,…