Month: November 2023
Wizara ya Ardhi yaanza maboresho katika vyuo vyake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza maboresho katika maeneo ya vyuo vyake vya Ardhi vya Morogoro (ARIMO) na Tabora (ARITA) Hayo yamebainishwa tarehe Novemba 24, 2023 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba…
Dk Biteko : Rais, Dk Samia anataka mahusiano mazuri kati ya TRA na wafanyabiashara
📌Aipongeza TRA kufikia asilimia 97.4 ya ukusanyaji mapato mwaka 2022/2023 📌Ataka Wafanyabiashara kuendelea kulipa kodi kwa maslahi ya nchi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mamlaka ya Mapato…
Dk Biteko akutana na menejimenti NMB
#Awaasa kusaidia miradi ya uwekezaji nchini hususan sekta ya umeme # NMB yaipongeza Serikali kwa kuwa na Uchumi imara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dkt. Doto Biteko leo tarehe 24 Novemba, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya…
Tahadhari inapunguza athari za El Nino
Na Stella Aron, JamhuriMedia Dunia kwa sasa inakabiliwa na mabadiliko yua tabia nchi na kuwepo kwa madhara ambayo tayari kwa Bara la Afrika yamenza kuonekana. Ulimwengu umeingia rasmi katika kipindi cha El Nino, kulingana na Shirika la Sayansi la Marekani…
Dk Biteko akutana na balozi wa China nchini Tanzania
✅Akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ambapo walizungumza masuala mbalimbali…
Wanafunzi shule za St Mary’s wafaulu kwa alama A
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shule za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye matokeo yao. Katika matokeo yaliyotangazwa jana na Baraza la Taifa…