Month: November 2023
Watumishi wakutwa na tuhuma za kujibu kwenye kituo cha afya Kabuku
…………………………………………………………….. Watumishi wawili wakutwa na tuhuma za kujibu kwenye kifo cha Bi. Mariam Zahoro mkazi wa Kijiji cha Mumbwi katika Wilaya ya Handeni kilichotokea kwenye Kituo cha Afya Kabuku, Mkoa wa Tanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo…
TMDA watoa ufafanuzi wa dawa ya Carbotoux (Carbocistaine+ Promethazine)
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wake, Bw. Adam Fimbo leo Novemba 27,2023 imetolea ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya uwepo wa dawa aina ya Carbotoux (Carbocisteine 100mg + Promethazine…
Serikali imeweka msukumo wa kuimarisha sekta ya mipango – Dk Biteko
Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka msukumo wa pekee wa kuimarisha…
Tume ya Mipango shirikisheni wananchi uandaaji Dira ya Maendeleo ya Taifa – Dk. Biteko
📌 Ataka miradi inayofadhiliwa na Wadau wa Maendeleo pia ifuatiliwe na kufanyiwa tathmini 📌Awaasa Maafisa Mipango kutembea kifua mbele, wao ni wadau muhimu Serikalini 📌Aagiza watoe elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutoa maoni kwa ajili ya maendeleo ya nchi…
Maambukizi ya malaria yapungua mjini Tabora, vijijini bado
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Maambukizi ya malaria yametajwa kupungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya mjini huku hali ikiwa bado mbaya vijijini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kitengo cha kudhibiti Malaria Manispaa ya…