JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

JKCI yapewa tuzo ya umahiri wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  imepokea tuzo ya umahiri kutokana na jitihada zake na kuelimisha jamii jinsi ya kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza pamoja na kutoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa…

Serikali yazindua kampeni ya Tumekusikia,Tumekufikia kutangaza shughuli za Serikali

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Habari,Mawasiliano na Technolojia ya Habari imezindua Kampeni ya Tumewasikia Tumewafikia ambayo itakwenda nchi nzima kufahamisha umma kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na serikali ya awamu sita kwenye sekta za maji, afya, miuondombinu…

Madaktari wa watoto wapewa mafunzo maalum ya kufanya kipimo jinsi moyo unavyofanyakazi

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Madaktari 22 wanaotoa huduma kwa watoto kutoka Tanzania na nje ya nchi wanashiriki mafunzo maalumu ya awali ya namna ya kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiograph – ECHO) kwa watoto….

Rais wa Ujerumani kukutana na familia za mashujaa wa vita vya Majimaji

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier Novemba 1, 2023 amewasili Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani hapo. Rais Dkt. Steinmeier amepokelewa na Waziri wa…

Watano wafariki, wengine nane waokolewa katika ajali ya boti Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Mafia Watu watano wamefariki dunia huku wengine wawili wakiwa hawajulikani walipo baada ya boti walilokuwa wakisafiria kuzama, katika kingo za mto Rufiji,ikitokea wilaya ya Mafia Mkoani Pwani. Aidha watu wanane katika ajali hiyo wameokolewa wakiwa hai….