JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili Tanzania

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuwa kichwa kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company’ (HRC) kimewasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea…

Waziri Mkuu Majaliwa uso kwa uso na Makonda

Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 02, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma.

Tanesco:Ushetu kujengewa kituo kidogo cha umeme cha Bil.12

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dodoma Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limesema lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo. Akizungumza leo…

Rais Saimia ashiriki Mkutano wa 23 wa kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani

Kigali- Rwanda Habari picha za matukio mbalimbali Rais Samia akishiriki Mkutano wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kigali KICC leo Novemba 02, 2023.

Askari wa usalama barabarani wawashikia rungu madereva wafuate sheria

Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA Pwani. Mkuu wa Operation wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Nassoro Sisiwaya amewaasa madereva wa vyombo vya moto kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali za mara kwa mara. Ameyasema…

Wakuu wa vyuo, waratibu dawati la jinsia 612 kupigwa msasa kupambana na ukatili vyuoni.

Na WMJJWM Iringa Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema imejipanga kutoa elimu kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu wa Dawati la Jinsia kutoka Vyuo Vikuu na Kati 612 ili kupambana na vitendo vya…