JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

TANESCO kujenga kituo kidogo cha umeme Ushetu

#Kutumia shilingi Bilioni 12 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo….

JK na Rais Hichilema waendelea na usuluhishi wa mgogoro wa Lesotho

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na Rais Haikande Hichilema wa Zambia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Ufalme wa Lesotho kama sehemu ya mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa na kiusalama uliopo katika Ufalme wa…

Wauguzi watuhumiwa kuomba rushwa wajawazito

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora Baadhi ya Watumishi wa Idara ya Afya Mkoani Tabora wametuhumiwa kuomba rushwa kwa akinamama wajawazito na kuwatolea lugha zisizo na staha wanapokwenda kujifungua katika vituo vya afya na zahanati. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Taasisi ya…

Vicheko wakazi wa manispaa kigoma-ujiji, Rais Samia kumaliza kero ya maji

Na Allan Vicent, Kigoma Zaidi ya sh bil 9.5 sawa na Euro mil 3.2 zilizotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA) zimewezesha kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wenye uwezo…

DSM mbioni kunufaika na gesi asilia

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 1,2023 amekutana na timu ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati ambao waliambatana na Wataalam wa gesi Asilia kutoka JICA ambapo wamefanya…