JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Serikali yatoa ufafanuzi Kampuni ya mafuta ya Tanoil

Yaeleza hatua ilizochukua kwa wafanyakazi na Kampuni zilizosababisha hasara Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imeeleza hatua stahiki zilizochukuliwa kufuatia hasara iliyojitokeza kwa Serikali kupitia Kampuni ya mafuta ya TANOIL ikiwemo hatua ya kuwasimamisha kazi wafanyakazi wanne wa TANOIL. Hatua…

Serikali yadhamiria kutokomeza malaria nchini na kuimarisha uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI imesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kugawa vyandarua bure kwa wananchi imelenga kutokomeza ugonjwa wa malaria na kuimarisha uchumi. Hayo yalisemwa jana Mkoani Tabora Wilayani Igunga na Kaimu Meneja MSD kanda ya…

Matinyi-Mikoa na Halmashauri zianike mambo makubwa yanayofanywa na Serikali

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKURUGENZI wa idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ,ameielekeza mikoa na halmashauri hizo, kueleza makubwa yanayofanywa na Serikali ili kuondoa maswali kutoka kwa wananchi juu ya utekelezaji wa miradi ya…

Tanzania, Indonesia zaanza ushirikiano kwa vitendo sekta ya madini

Bandung, Indonesia. Wataalam wapatao 20 kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake wameanza rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala mbalimbali ikiwemo utafiti, usalama wa makaa ya mawe pamoja na madini mengine katika Kituo cha Human Resource Development Center Geology,…

Dk Biteko : Tumsaidie Rais Samia kujenga nchi

#Dkt. Biteko Asisitiza amani na upendo Ujumbe wa Marafiki waliosoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb) ukiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe umetoa pongezi kwa Dkt. Biteko kwa kuteuliwa…

Tume ya Madini yaja na mikakati mipya ya ukusanyaji wa maduhuli

Yapitisha maombi mapya 7596 ya leseni za madini kuanzia Julai hadi Septemba, 2023 Mhandisi Samamba awataka watanzania wengi kuwekeza kwenye Sekta ya Madini Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Ili kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa…