JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

EWURA zingatieni maslahi ya nchi katika shughuli za udhibiti wa mafuta – Dk Biteko

*Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta * Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za…

Sakata la Maria aliyehukumiwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swala lawaibua LHRC

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa hukumu ya miaka 22 jela iliyotolewa kwa Mama Maria Ngoda wa Iringa, kufuatia kosa la kukutwa na nyama ya…

Wawekezaji watakiwa kujenga viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati

Na.Samwel Mtuwa- Dodoma. Tanzania imefungua milango ya uwekezaji katika Sekta ya Madini kwa nchi ya Korea ya Kusini ikiwemo kuendeleza ushirikiano wa kikazi katika kufanikisha utekelezaji wa mikakati ya Vision 2030:MadinI Maisha na Utajiri. Hayo yamesemwa leo Novemba 8, 2023…

Taarifa za utatuzi wa changamoto za muungano kuendelea kuwasilishwa.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuwasilisha taarifa kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano unaofanyika kupitia vikao baina ya Serikali zote mbili. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi…

Kiwanda cha kutengeneza biskuti za bangi chanaswa kawe.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Kilogramu 158.54…

NMB wampongeza Spika wa Bunge kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth…