JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

CTI na wafanyabiashara wa Marekani kuendeleza ushirikiano wa kibiashara

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle amesema serikali inapaswa kutengeneza sekta binafsi imara ili kufikia maendeleo makubwa ya biashara na ujenzi wa viwanda vingi vitakavyoongeza kasi ya ukuaji wa uchumi na…

Dk Biteko afanya mazungumzo na Waziri wa Biashara wa Korea Kusini

Aahidi kuendeleza ushirikiano katika kukuza uchumi Korea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi Tanzania Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara kutoka nchini Korea Kusini,…

Profesa Mwandosya ataka Sera matumizi ya akili bandia

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es salaam. Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, Profesa Mark Mwandosya, ameishauri serikali kutunga sera ya kudhibiti matumizi ya akili bandia ili kuzuia watu kuitumia vibaya teknolojia hiyo. Prof Mwandosya ametoa ushauri huo…

Mavunde:Tanzania mbioni kuchimba madini hadimu (REE)

Na Samwel Mtuwa – Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Madini itaanza rasmi uchimbaji wa Madini Adimu yaani Rare Earth Element (REE) kupitia kampuni ya uchimbaji madini ya Mamba ijulikanayo kama Mamba Minerals Corporation Limited (MMCL) yenye ubia kati ya Serikali…

Kero ya kutembea umbali mrefu kuifuata elimu yatatuliwa Mkuranga

Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA, Pwani. Serikali kwa kushirikiana na Halmashauri imetatua kero ya kutembea masafa, umbali wa km 4 kufuata elimu ya Sekondari kutoka Kijiji cha Kilimahewa kwenda Kiimbwanindi , wilayani Mkuranga Mkoani Pwani ,ambapo sasa imebaki historia. Kutokana…

Rais Samia avunja Bodi ya TCRA, ateua bosi mpya NIC

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus leo Novemba 09,…