JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Wizara za Nishati Bara na Zanzibar zasaini makubaliano, ushirikiano sekta ya Nishati

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano…

Uhamiaji Kisarawe yakemea biashara haramu, usafirishaji na utumikishaji watoto

Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA, Kisarawe Ofisa Uhamiaji Wilayani Kisarawe, Mkoani Pwani ,Mrakibu Mwandamizi Rose Mkandala amekemea tabia ya usafirishaji haramu wa watoto wadogo chini ya miaka 18 ,kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ,na kuwafanyisha biashara ndogo ndogo ya karanga…

NEC kuendesha majaribio, uboreshaji daftari la wapiga kura kwenye vituo 16

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Ramadhani Kailima, amesema Tume hiyo inaendesha majaribio ya uboreshaji wa dafftari la kudumu la wapiga kura katika vituo 16 vya kuandikishia katika Mikoa ya Tabora na Mara kuanzia Novemba…

Tamasha la wakati Mungu Season 2 kufanyika Desemba 15, 2023 Mlimani City

SIMPLY Special decor kwa kushirikiana na Halisi Ministry wameandaa tamasha kubwa la Wakati wa Mungu Season 2 litakalofanyika Desemba 15, 2023 katika ukumbi wa Mliman City jijini Dar es Salaam. Katika tamasha hilo waimbaji maarufu wa muziki wa Injili kutoka…

Tanzania na Uganda zasaini mkataba upembuzi yakinifu wa bomba la gesi.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha…

Serikali yatoa ufafanuzi mifugo iliyokamatwa Serengeti.

Na Happiness Shayo Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha ng’ombe 806, kondoo 420 na mbuzi 100 waliokamatwa Serengeti na kupigwa mnada baada ya Mahakama ya Musoma kutoa hukumu, limeshahitimishwa kimahakama baada ya taratibu…