JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

MUCOHAS wapokea msaada wa hadubini kupitia mpango wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Wizara ya Afya imepokea msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani 488,000 ili kusaidia upimaji wa vimelea vya Malaria na magonjwa mengine kwa ufanisi zaidi ikiwa…

Majaliwa aagiza vyombo vya habari kulipwa madeni, kutatua changamoto za wanahabari

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na kuweka mfumo endelevu wa kutatua changamoto hiyo pamoja na changamoto nyingine za wanahabari. “Taasisi zote za Serikali…

Dk Biteko akagua visima, mitambo ya kuchakata gesi asilia songosongo

✅️Aiagiza TPDC kusimamia kikamilifu wazalishaji wa Gesi Asilia ✅️REA watakiwa kupeleka umeme kisiwani humo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi…

Bodi ya TCRA yasukwa upya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Taarifa iliyotolewa leo novemba 13, 2023 na Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais…

CCM na CPV kunufaisha sekta ya uzalishaji Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Daniel Godfrey Chongolo amesema kuwa chama hicho kinaridhishwa na urafiki na uhusiano wake na Chama cha Kikomunisti cha Viet Nam (CPV), na kipo tayari kuendeleza ushirikiano kati ya pande hizo mbili utakaoongeza…