JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Wakazi wa bonde la mto Msimbazi kulipwa fidia kupisha uendelezaji wa bonde hilo

Hayo yamejiri Novemba 15, 2023 wakati Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila alipokutana na wakazi hao katika viunga vya Ofisi za Young African Ilala Jijini Dar…

Vyuo vya Afya vyatakiwa kutumia mitaala inayoendana na wakati.

Na Mwandishi Wtu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete amewataka wadau wa afya nchini ikiwemo serikali kuwekeza kwenye vyuo vya afya kwa kuangalia mitaala inayotumika na njia zinazotumika kufundishia kwani zinapaswa kuendana na…

Ziara ya Dk Biteko mikoa ya Lindi, Mtwara yaacha alama

đź“ŚAagiza kituo cha Polisi, Afya, Taa za Barabarani kuwekwa Kijiji cha Msimbati đź“ŚWananchi Kijiji cha Songosongo kupatiwa umeme, Maji, Kivuko đź“ŚAagiza Vijiji vya Msimbati, Madimba na Songosongo kupata gawio la Ushuru wa pHuduma đź“ŚAtaka TANESCO kuja na suluhisho la changamoto…

Stamico: Tutaendelea kuwabeba wachimbaji wadogo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kutoa elimu, vifaa na kuboresha mazingira ya uchimbaji hapa nchini ili rasilimali za Taifa ziweze kusaidia wengi zaidi. Miongoni mwa mafanikio wanayojivunia ni ushirikiano na makubaliano waliyoingia…

Dkt.Mwinyi:Imarisheni mipango ya maendeleo kukuza haki za kiuchumi kwa wanawake

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Alli Mwinyi amewataka mawaziri wa fedha na jinsia kwa nchi za Afrika kuimarisha mipango ya maendeleo ili kukuza haki za kiuchumi…

Ziara ya Rais Samia Morocco na Saudi Arabia kunufaisha Sekta za Uvuvi nishati ajira na uwekezaji

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika nchi za Morocco na Saudia Arabia zimeleta manufaa na tija kubwa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo  mifugo, nishati, ajira…