JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

NEC yawataka watendaji kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa na wadau kushiriki

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka Watendaji wa Uboreshaji wa Majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi kushiriki…

Wadau wa afya watakiwa kukomesha tatizo la usugu wa vimelea vya dawa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma WADAU wa afya nchini wametakiwa kuendeleza mapambano dhidi ya tatizo la usugu wa vimelea vya dawa kwa kuongeza uelewa kwenye jamii na kutia hamasa kuhusu usugu wa dawa za binadamu ambao unatishia afya za binadamu duniani…

Watumishi UDOM waaswa kulinda maadili ya utumishi wa umma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Watumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameaswa kufuata na kuziishi Kanuni na Maadili ya Utumishi wa Umma ili kuwa na Utumishi wa Umma wenye ufanisi na wa kuheshimika. Hayo yamesemwa leo 20 Novemba 2023 na mwakilishi…

Somo la Kiingereza kuanza kufundishwa kuanzia darasa la kwanza ifikapo 2024

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze UTEKELEZAJI wa kufundisha somo la kiingereza (English)kuanzia darasa la kwanza kufuatia mabadiliko ya mtaala wa elimu ya Msingi 2023 utaanza rasmi January mwaka 2024 . Utekelezaji huo ni hatua itakayomuandaa mwanafunzi kujiimarisha kwenye matamshi na…

Simbachawaane : Rushwa ndogondogo zinawakera sana wananchi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akizugumza wakati  akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa  viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) unaofanyika kwa siku tatu jijini…