Month: November 2023
Naibu Waziri Kikwete afungua mafunzo ya mfumo mpya wa utendajikazi kwa watumishi wa umma Iringa
Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Iringa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amefungua mafunzo ya mfumo mpya wa usimamizi wa utendaji kazi wa mtumishi na taasisi katika utumishi wa umma (PEPMIS…
Avitaka vikundi vya ushirika vya wachakata dagaa kuongeza thamani ya bidhaa hiyo
Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha oparesheni na mawasiliano ya dharula kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na uratibu Bw. Prudence Consintatine Viongozi mbalimbali wakishiriki hafla ya kukabidhi miundo mbinu ya vichanja vya kukaushia dagaa ………………………………………………………………… Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,…
Wananchi Mtaa wa Chimalaa, Ntyuka waiomba Serikali kuwasimamia kulipwa fidia
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma ZAIDI ya Wananchi 152 wa Mitaa ya Chimala na Ntyuka Jijini Dodoma wamelalamikia Wakala wa Barabara nchini (TANROAD )Mkoa wa Dodoma kwa kutolipwa fidia baada ya kupisha ujenzi wa Barabara licha ya Wakala huo,kuwafanyia uthamini tangu Mwaka…
Waziri Gwajima aitikia wito wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima , amefika Ofisi za Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Makao Makuu jijini Dodoma na kukutana na Katibu Mkuu wa…
Ujumbe wa Waziri wa Mambo ya Nje wa India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V. Muraeedharan (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao (kushoto) Balozi wa…
Chalamila uso kwa uso na wananchi Zingiziwa, atatua kero hadi usiku
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Novemba 20,2023 amefanya Mkutano mkubwa wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Singiziwa-Chanika jijini Dar es Salaam ambapo amesikiliza kero na kuzipatia…