JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2023

Rais Samia atoa bil.56- ya miradi ya maji Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu imetoa shilingi Bilioni 56 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji mijini na vijijini mkoani Manyara ambapo miradi…

Wizara ya Madini kushiriki Jukwaa la Biashara Uingereza

Na Mwandishi Wetu, London Timu ya Wataalam wa Wizara ya Madini ikiongozwa na Katibu Mkuu Kheri Mahimbali inashiriki katika Jukwaa Maalum la Biashara kati ya nchi ya Tanzania na Uingereza. Wataalam wa Wizara ni sehemu ya ujumbe maalum wa Serikali…

Serikali yaiwezesha MSD kusambaza vifaa tiba, dawa Simiyu Simiyu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu BOHARI ya Dawa (MSD), Kanda ya Mwanza kupitia Serikali imeendelea na usambazaji wa bidhaa za afya katika Mkoa wa Simiyu Wilaya ya Itilima, licha ya changamoto zinazosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo na…

RC Chalamila aridhishwa na ujenzi wa shule ya sekondari ya Mvuti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 20, 2023 amefanya ziara kukagua ujenzi wa shule ya sekondari Mvuti iliyopo kata ya Msongola-Ilala na kupongeza ujenzi huo wa kisasa.Ā  Mhe….

Biteko aiagiza TPDC kuandaa mpango wa muda mrefu wa upatikanaji gesi

šŸ“ŒAitaka pia kukagua ushuru wa huduma unaotolewa kwa Halmashauri Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na mpango wa…