JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Tanzania na Zambia zaingia makubaliano ya ushirikiano katika maeneo haya

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Lusaka Zambia Tanzania na Zambia zimeingia makubaliano katika maeneo mnne ya ushirikiano na mikataba mnne ya miradi mbalimbali. Mikataba hiyo na hati za makubaliano zimesainiwa mbele ya Rais Samia na Rais Hichilema wa Zambia katika…

TARURA yawaunganisha wananchi Wilaya ya Ruangwa na Liwale

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Lindi imekamilisha ujenzi wa daraja la Mbwemkuru lenye urefu wa mita 75 na kufungua barabara ya Ruangwa-Nangurugai- Kiangara-Mirui-Mbwemkuru yenye jumla ya Km 65. Meneja wa TARURA…

Sekta ya madini nguzo muhimu ya maendeleo ya nchi

#Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na…

Tanzania, Austria kushirikiana elimu ya ufundi, utalii, biashara na uwekezaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii. Makubaliano hayo yameafikiwa katika Mkutano wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Angelah…

Mchengerwa ataka DART iongeze watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri Dar

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuongeza watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri wa haraka kwa wananchi wa Dar…