JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Dk Mpango : Hakuna atakayekwamisha ujenzi wa viwanda vya dawa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema Serikali inatambua vita iliyopo katika ujenzi wa viwanda vya dawa lakini kwa kuwa uamuzi huo ni wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan hakuna atakayefanikiwa kuvikwamisha. Amesema kwa sasa…

Usiku wa madini waupamba mkutano wa kimataifa

Waziri wa Madini Malawi apongeza juhudi za Tanzania kuendeleza Sekta Kampuni mbalimbali Zapewa Tuzo kutambua Mchango Wao, Prof. Mruma apata Tuzo Maalum ya GeoScience Miss Tanzania 2023 awa kivutio onesho la bidhaa za vito na usonara Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia…

Chalamila atoa rai kwa viongozi wa dini kuiombea Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Albert Chalamila, amesema Serikali inategemea maombi ya viongozi wa dini, kupitia sala na dua za viongozi wa dini na wachungaji ndipo tunapata viongozi wa Serikali…

Taasisi ya PEXPLA – Tanzania kuwawezesha wafanyabiashara kunufaika na fursa za biashara China

Na Hughes Dugilo, Hangzhou, China Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi inayojihusisha na kuwawezesha Wafanyabiasha ya Professional Exchange Platform, (PEXPLA – TANZANIA), Jenipha Japheth, amesema kuwa wafanyabiasha wa Tanzania wanaweza kunufaika na uwepo wa ushirikiano wa kibiashara baina ya taasisi hiyo…

Rais Mwinyi atoa miezi mitatu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali kutolipa kodi kwa halmashauri

Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa miezi mitatu bure kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa mkoa wa Kusini Unguja kufanya biashara zao bila kulipia kodi kwa halmashauri ya…

Dk Yonazi : Jitihada za Serikali na wadau zachangia kuimarika kwa hali ya lishe na kupungua viwango vya utapiamlo nchini

Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Arusha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema Utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Pili wa Masuala ya Lishe wa mwaka 2021-22-2025/26 umekuwa na mafanikio makubwa kutokana…