JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

AGRF kutoa Trilioni 1.2 kuimarisha sekta ya mifugo, uvuvi na kilimo

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI inatarajia kupata sh.trilioni 1.2 kutoka kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuimarisha sekta ya mifugo, uvuvi na kilimo. Fedha hizo zimepatikaa kupitia Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula ya Afrika (AGRF) uliofanyika Septemba, mwaka huu,…

Jukwaa la Wahariri lapongeza uteuzi wa Mobhare Matinyi kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Jukwau la Wahuriri Tanzunia (TEF) limepokea kwa furaha uteuzi wa Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa ldara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Pia TEF inampongeza kwa uteuzi huo wa Oktoba 1, 2023. Kwa mujibu…

Vifaa vya ushoni, TEHAMA vyaongeza ufanisi Bohari Kuu ya Jeshi

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Dar es Salaam. Jeshi la Polisi kupitia Bohari kuu imesema imeendelea kusimamia uzalishaji wa sare za maafisa na askari wa Jeshi la Polisi nchini Pamoja na kufunga mifumo ya Tehama na vifaa vya kisasa…

Tanzania yaungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha maboresho ya sera ya ardhi ambayo italeta suluhisho kwenye suala la umiliki wa ardhi ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia wamiliki wasioendeleza ardhi. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku…

NSSF Pwani yapinga kukemea vitendo vya rushwa kazini, atakayebainika kukiona – Witness

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoani Pwani, imetoa rai kwa mtumishi ama mtendaji yeyote anaejihusisha na vitendo vya rushwa kuacha mara moja vitendo hivyo kwani vinachangia kuzorotesha utoaji wa huduma kwa wateja….

Wizara ya Ardhi ya kuja na maboresho ya Sera ya Ardhi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta suluhu kwenye changamoto za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Septemba…