JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Rais Samia ashiriki uzinduzi, maonyesho ya mboga na matunda Qatar

Na mwandishi wetu Jamhuri Media , Doha Qatar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023). Maonesho hayo yanatoa fursa kwa wafanyabiashara…

Mhagama afurahishwa ubora wa shamba la kahawa la Aviv Tanzania Limitd Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Magama  amesema kuwa nchi inahitaji uwekezaji zaidi wa mashamba makubwa ili kufungua fursa ya ajira kupitia kilimo kama ilivyokuwa kwa shamba kubwa la kahawa…

Watu 604 wamepata huduma za upimaji moyo wakati wa maadhimisho Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watu 604 wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini…

TASWA yapongeza uteuzi wa Mobhare Matinyi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Matinyi aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa TASWA, umefanywa jana Oktoba Mosi,…

REA kutoa mikopo ujenzi vituo vya mafuta vijijini

Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Geita Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekuja na mpango wa kutoa mikopo midogo kwa ajili ya kujenga vituo vya mafuta vidogo vidogo vijijini ili kuzuia ajali za moto zinazotokana na kuuza mafuta ya Petroli…