Month: October 2023
Serikali yasitisha shughuli za wananchi eneo la mto Maleta Kisiwa cha Chole, Mafia
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Mafia SERIKALI imeagiza mara moja kusitishwa kwa shughuli za wananchi katika eneo la mto Maleta, kwa kuwa ni eneo la Uhifadhi wa bahari na ni chanzo cha maji na mazalia ya samaki pia ni sehemu ambapo mto…
Kapinga: TANESCO boresheni mfumo wa utoaji huduma kwa wateja kupunguza malalamiko
Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Dar Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma kwa wateja ili kupunguza malalamiko na kuwapatia wananchi hao huduma ya umeme kwa wakati. Mhe. Kapinga ametoa…
Ukarabati uwanja wa Benjamini Mkapa washika kasi kuelekea ufunguzi michuano ya AFL
Na Eleuteri Mangi WUSM, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ameridhishwa na kasi ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utakaotumika kwenye ufunguzi wa Michuano ya African Football League (AFL) Oktoba 20, 2023 jijini…
ATCL kuwa na ndege zake mpya 16 – Prof. Mbarawa
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Dar WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amebainisha kuwa, Tanzania kupitia shirika lake la ndege (ATCL) linaenda kuwa na ndege zake mpya 16. Prof. Mbarawa ameyasema hayo mapema jana Oktoba 2,2023, wakati wa kutangaza hafla ya…