JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Mgonjwa mwenye jinsia mbili atolewa jinsia ya kike Hopitali ya Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imefanikiwa kufanya upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia mbili mwenye muonekano wa jinsia ya kiume. Upasuaji huo ulifaywa na jopo…

Tanzania, Marekani kushirikiana katika eneo la ufadhili wa michezo

Na Shamimu Nyaki, JamhuriMedia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar…

Watumishi madini watembelea mgodi wa North Mara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Kundi lingine la Watumishi wapatao 14 kutoka kada mbalimbali za Wizara ya Madini ikihusisha Makatibu Mahususi, Watunza Kumbukumbu na Wahudumu wametembelea Mgodi wa North Mara uliopo Mkoani Mara. Ziara hiyo ni sehemu ya mwendelezo wa…

Ujumbe wa Tanzania Thailand wakutana na Mtanzania anayemiliki kiwanda cha nguo

Wakati wa ziara ya ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman Kilonda aliyewekeza jijini Bangkok nchini humo kwa kumiliki kiwanda cha kushona na kuchapisha fulana cha Sk…