JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Uboreshaji vifaa tiba Kituo cha Afya Likombe Mtwara wapunguza rufaa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, MtwaraZaidi ya Sh. Milionin361.5 zilizotumika kufanya maboresho ya kuweka vifaa tiba mbalimbali katika Kituo cha Afya Likombe kilichopo Halmashauri ya Mtwara-Mikindani zimesaidia kupunguza idadi ya rufaa zinazotolewa kwenda Hospitali ya Mkoa wa Ligula. Rufaa hizo zilizopungua kwa…

Shirika la Elimu Kibaha laanza kutoa mafunzo kwa vyuo vingine mkoani Pwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Shirika la Elimu Kibaha (KEC) limepokea wanafunzi wapya 46 kutoka katika Chuo cha Biashara Kibaha (KIB) kwa ajili ya kuwapatia mafunzo ya kozi za muda mfupi wa miezi miwili. Katika kipindi cha miezi miwili Chuo…

RRH zashauriwa kufanya maboresho kama Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya wameshauriwa kuiga mfano wa maboresho yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuboresha hospitali hizo zaidi ya ilivyo…

Prof. Mhando ang’atuka ZIFF, mikoba yake akabidhiwa mtoto wa Prof. Shivji

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, DarTAMASHA la Kimataifa la Filamu la Zanzibar [ZIFF]mapema leo Oktoba 3,2023 limemtambulisha rasmi mwongoza filamu Amil Shivji kuwa Mkurugenzi mpya wa tamasha hilo, ambalo ni miongoni mwa matamasha kongwe Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, likiwa na…

Majaliwa atatua mgogoro wa ardhi Jiji la Mwanza

*Aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa…