Month: October 2023
Spika Dk Tulia ashiriki mkutano wa Jumuiya ya Madola Ghana
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Tulia Ackson, leo tarehe 5 Oktoba, 2023 ameshiriki Mkutano wa 66 wa Kibunge wa Jumuiya ya Madola (CPC) unaoendelea katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana wenye…
Wizara ya Maliasili na Utalii yazidi kuwa tishio, SHIMIWI yang’ara kwenye riadha
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Iringa Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi namba moja kwenye mbio za mita 3000 na 800 na kutinga fainali kwenye mbio za mita 400 huku ikiingia nusu fainali kwenye mbio za mita 200 katika mashindano…
Waziri Mavunde ainadi Visioni 2030 kwa Taasisi za fedha, wadau
Zaeleza ziko tayari kushirikiana na Serikali, Wachimbaji Dkt. Mwasse Azitoa Hofu Taasisi za Fedha , Aeleza namna STAMICO ilivyosimama Kati Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameichambua Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri na kuinadi kwa…
Serikali yaahidi kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji sekta ya nishati kuchochea uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dtk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha inaweka mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati ili kuchochea maendeleo ya uchumi nchini. Waziri Biteko ameyasema hayo,…
RC Chalamila apokea msaada wa vifaa tiba toka Shirika la Dkt International
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 4, 2023 amepokea vifaa tiba toka Shirika la DKT international ambavyo amevielekeza katika Wilaya ya Kigamboni na Ubungo Jijini Dar es Salaam. Akipokea msaada…
Tanzania yashiriki mkutano wa Shirika la Makazi Algeria
Wajumbe wafanya mazungumzo na Balozi Tanzania nchini humo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Algeria Ujumbe wa Tanzania unaohudhuria Mkutano Mkuu wa dharura wa Shirika la Makazi Afrika(Shelter Afrique) unaofanyika Jijini Algiers umekutana na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Algeria ili…