JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Hospitali ya Rufaa Simiyu kuanza huduma za kibingwa kwa wajawazito na watoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Simiyu imeanza kupokea vifaa tiba mbalimbali kutoka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya ziwa, kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibingwa kwa akina Mama wajawazito na watoto. Hatua hiyo inatajwa…

Waziri Silaa akerwa mfanyabiashara kusumbuliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa ya Moshi asisumbuliwe na badala yake asaidiwe ili aweze kulitumia eneo lake kulingana na matumizi…

Mabaharia Tanzania kutambulika zaidi kimataifa

Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia SERIKALI kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), imeendelea na juhudi za kuwafungulia fursa mabaharia wa Tanzania kimataifa. Juzi, kwa niaba ya Serikali TASAC ilisaini Hati ya Makubaliano (MOU) na nchi ya Barbados ili nchi…

Dkt Biteko ashuhudia fainali ya Mwalimu Doto Cup Bukombe

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia fainali ya mashindano ya Mwl. Doto CUP 2023, wilayani Bukombe mkoani Geita ambapo Walimu katika wilaya hiyo wameshindana katika  michezo…

Taasisi ya Umoja wa Mataifa yakabidhi magari kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama

Na Mwandishi Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Nchini leo Oktoba 05, 2023 limekabidhiwa msaada wa magari Manne aina ya Nissan Patrol toka Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia mabaki ya shughuli za Mahakama za Makosa ya Jinai – IRMCT yenye ofisi…

Chongolo: Mawaziri watatu kuhusika fidia mradi wa umeme Tabora – Katavi

,Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema atakutana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Nishati na Wizara ya Fedha, kwa ajili ya kutatua changamoto ya malipo ya fidia ya…