JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Chongolo akagua maendeleo ya ujenzi Hospitali ya Rufaa Katavi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa…

Dk Biteko azuru kaburi la hayati Rais Magufuli

Leo Oktoba 7, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezuru na kufanya Sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita

Hospitali ya Tanga Jiji yapokea vifaa tiba vyenye thamani ya mil.250/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Uongozi wa Hospital ya Tanga jiji umeishukuru serikali kupitia MSD kwa kuendelea kuwapatia dawa na vifaa tiba kwa wakati jambo ambalo limeongeza tija katika utoaji huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Akizumgumza mara baada ya…

Chongolo ‘ aweka mguu chini’ kuukwamua mradi wa umwagiliaji uliokwama miaka 16 Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo leo Ijumaa Oktoba 6, 2023 amekagua Skimu ya Umwagiliaji ya Ugalla katika Kijiji cha Katambike, wilayani Mpanda, ili kuuwekea mpango wa kuukwamua, baada ya mradi huo…

NSSF wakabidhi msaada wa mashuka Hospitali ya Mkoa Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, Jamhurimedia, Songea MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Ruvuma, umekabidhi mashuka katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (HOMSO) yenye thamani ya zaidi ya sh.milioni 1.5 ili kuwasaidia Watanzania na wadau wa mfuko huo…

Mipango ya kupima viwanja iendane na miundombinu – Waziri Silaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wataalamu wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha mipango yote ya kupima viwanja inaendane na miundombinu ya maeneo husika. Silaa ametoa maagizo hayo Oktoba 6,…