JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Kasi ya usambazaji dawa unaofanywa na MSD waondoa uhaba wa dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Ongezeko la awamu za usambazaji wa dawa kutoka nne kwa mwaka hadi sita umetajwa kusaidia kuondoa uhaba wa dawa katika maeneo ya huduma na kuondoa upelekaji wa dawa zilizokaribia kuisha muda katika vituo vya afya….

Wawekezaji wakaribishwa soko la utalii nchini

Na Andrew Chale, JamhuriMedia WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili…

Kijiji cha Litumbandyosi wampongeza Rais Samia kufikiwa umeme wa REA

Na Lilian Lundo, JamhuriMedia, Ruvuma Wananchi wa Kijiji cha Litumbandyosi kilichopo Kata ya Litumbandyosi, Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwawezesha kupata umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini…

Waziri Gwajima : Tanzania mwenyeji mkutano wa kimataifa wa kutokomeza ukeketaji

Na WMJJWM, Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa kutokomeza Ukeketaji ambao unatarajia kuwa na washiriki 900 kutoka Barani Afrika. Akizungumza na…

Aliyekuwa mtendaji wa kijiji na wenzake nane wahukumiwa kunyongwa Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe, imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa tisa akiwemo Beatus Salum aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Kipengere Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa makosa ya mauaji ya ndugu wawili mwaka…