Month: October 2023
Mafia kupokea watalii 150 kutoka Afrika Kusini Machi 2024
Na Mwamvua Mwinyi, Jamhuriamedia, Mafia KISIWA cha Mafia kinatarajia kupata ugeni mkubwa wa watalii kupitia meli kubwa ya kitalii Afrika Kusini, itakayobeba watalii 150 , Machi, 2024. Ugeni huo ni matokeo chanya ya tamasha kubwa la utalii na uchumi wa…
REA wawasha umeme kijiji cha Litumbandyosi tangu nchi ipate uhuru
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amezindua na kuwasha umeme katika Kijiji cha Litumbandyosi kilichopo Kata ya Litumbandyosi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijijini mkoani Ruvuma huduma ambayo haijawahi kupatikana tangu nchi ipate uhuru….
Rais Samia kumaliza rufaa za wagonjwa wa nje ya nchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Molel amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewekeza zaidi ya Trilion 6.7 katika sekta ya afya ili kuhakikisha anamaliza Rufaa za Wagonjwa wa…
Waziri Mbarawa ataka kasi ujenzi reli ya SGR
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa amemwagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka Makutupora-Tabora kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ametoa agizo hilo jana baada ya kutembelea…
Tanzania kuadhimisha siku ya mbolea Tabora
Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora TANZANIA inatarajiwa kuungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya mbolea duniani itakayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora kuanzia tarehe 11 hadi 13 Oktoba mwaka huu katika Uwanja wa Chipukizi uliopo katika Halmashauri ya Manispaa Tabora. Akitoa taarifa kwa…