JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Muhimbili yaendesha mafunzo ya Kimataifa ya upasuaji wa sikio

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua mafunzo ya kimataifa ya awamu ya tatu ya upasuaji wa sikio na upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia (Cochreal Implant) kwa watu wanaozaliwa na changamoto ya kusikia. Mafunzo hayo yanajumuisha washiriki…

Dk Biteko afungua semina ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusu Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu

✔️Aeleza faida zake kwa Taifa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefunga Semina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo ililenga kuwapa uelewa Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu Mkataba wa Wakala…

Saba akiwemo Mkanada wadakwa, tuhuma za utekaji nyara Dar es Salaam.

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA,Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 7 akiwemo raia wa Canada kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadae kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani…

Matinyi: Tunataka Watanzania wajue utekelezaji miradi kwenye Halmashauri

Na Georgina Misama – MAELEZO Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Serikali inapeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri zake nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule,…

Rais wa Ujerumani kufanya ziara Tanzania

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hio mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na…

Othman atoa rai kwa jamii kuzingatia utambuzi wa ardhi kuepusha dhulma na migogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametoa rai kwa Mamlaka pamoja na Jamii, kuzingatia Utambuzi wa Ardhi, ili kuepusha dhulma na migogoro, juu ya raslimali hiyo muhimu nchini. Mheshimiwa Othman ametoa…