JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Silaa ataka maeneo ya huduma kupimwa na kupatiwa hati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka wakurugenzi wa halmasahauri nchini kuhakikisha maeneo yote ya huduma za jamii yanapimwa kwa lengo la kulinda maeneo hayo. Waziri Silaa amesema hayo Oktoba 9,…

Wafanyakazi JKCI waunga mkono juhudi za Rais Samia za kutangaza utalii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanya utalii wa ndani wa kutembelea  msitu wa mazingira asilia Pugu Kazimzumbwi uliopo  Kisarawe mkoani Pwani. Akizungumzia kuhusu utalii huo Mkurugenzi Mtendaji  wa JKCI Dkt. Peter Kisenge alisema…

Prof.Janabi: Mchango wa Serikali utoaji huduma za figo ni mkubwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeweka mchango mkubwa katika utoaji huduma za matibabu kwa wagonjwa wa figo katika ngazi mbalimbali nchini kuanzia kwenye kusomesha watalaamu, miundombinu na mashine za usafishaji damu hadi upandikizaji. Hayo yamesemwa leo na…

Tanzania, India kukuza uhusiano kutoka wa kihistoria mpaka kimkakati

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania na India zimekubaliana kuinua uhusiano wa kihistoria kati ya mataifa hayo mawili hadi kiwango cha Ushirikiano wa Mkakati. Rais Samia ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku tatu nchini India ambapo amesema…