Month: October 2023
Ndumbo : Wadau washirikiane na Serikali kusaidia changamoto za kielimu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Mkoani Pwani Mwalimu Kassim Ndumbo ametoa wito kwa taasisi na mashirika binafsi kushirikiana na serikali katika masuala mbalimbali ya kijamii yakiwemo afya na elimu. Ndumbo ameyasema hayo…
EWURA yatoa onyo kwa wamiliki wa vituo vya mafuta, yavifungia vituo tisa vya mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo viwili vya mafuta kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kuhodhi mafuta ili kujipatia maslahi haramu ya biashara ikiwemo faida…
Kituo cha umahiri afya ya akili kujengwa Vikuruti
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itajenga kituo cha umahiri cha kutoa huduma za utengamao kwa wagonjwa wa Afya ya Akili huko Kijiji cha Vikuruti kikichopo Kata ya Chamazi- Manispaa ya Temeke. Hayo yamesemwa leo Oktoba 19, 2023 na Mkurugenzi Mtendaji…
Msigwa asisitiza ubunifu na ulinzi wa maadili ya Mtanzania
Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amekutana na watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa ambapo amewasisitiza watumishi hao wawe wabunifu na wachukue hatua kulinda maadili ya Mtanzania. Katibu…
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuzindua mradi wa kitaifa wa Maadili na Uzalendo
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) inatarajia kuzindua mradi wa Kitaifa wa Maadili na Uzalendo Oktoba 14, 2023 katika kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mkoani Manyara unaolenga kuzuia mmomonyoko wa maadili. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa…