JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Serikali kuongeza wodi maalum 100 za uangalizi wa watoto njiti

Na WAF Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya katika kuboresha Huduma za afya nchini imejenga wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti 128 na kwa mwaka huu imepanga imepanga kujenga wodi nyingine 100 ili kuhakikisha vifo vya watoto wachanga vinapungua…

NMB yatoa madawati 200, viti, meza za mil. 25/- Kibaha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kusimamia upatikanaji wa elimu bora na mazingira rafili ya utoaji huduma hiyo mijini na vijijini, Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati, viti na meza kwa shule…

Mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na kuwaelezea Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo…

Wananchi watakiwa kulinda miundombinu ya reli

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kulinda usalama wa miundombinu ya reli inayoendelea kujengwa na serikali kwa mabilioni ya fedha ili kuepusha uharibifu unaofanywa na watu wasio na nia njema. Wito huo umetolewa jana na…

Hali ya kibinadamu Gaza mbaya, Israel kuanza mashambulizi ya ardhini

Gaza sasa ikiwa imezingirwa kikamilifu na wanajeshi wa Israel na baada ya siku tano za mashambulizi ya mabomu, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya. Umeme ulikatika leo baada ya kituo pekee cha umeme katika eneo hilo kukosa mafuta. Hospitali, ambazo…

Serikali kulipa madeni ya wakandarasi

Serikali imeahidi kulipa deni la Sh bilioni 167 la Wakandarasi wazawa pamoja na wa kigeni. Deni hilo limetokana na ujenzi wa miradi mbalimbali katika maeneo tofauti. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wakati alipokuwa akizungumza na wakandarasi…