JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

MSD yafanya maboresho makubwa sekta ya afya Singida, yatoa vifaa tiba, dawa

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, SingidaBOHARI ya Dawa (MSD) imetoa vifaa tiba na dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 532.4 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Hospitali ya Wilaya ya Singida, Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Hosptali…

Zingatieni usalama wa afya ya macho mahala pa kazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waajiri na waajiriwa wametakiwa kuzingatia kuwa mahali pa kazi panakuwa salama kwa afya ya macho wakati wote ili kuleta ufanisi mzuri katika kazi zao. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Uuguzi na…

Biteko : Serikali kufikisha umeme kila kitongoji kabla ya 2025

Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,akizungumza wakati wa tukio la kuwasha kwa  umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima cha maji ambacho kitakuwa kikitumia umeme kwa manufaa ya wananchi wa eneo hilo….

Idadi ya watu wazima wanaojua kusoma na kuandika yapungua nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Idadi ya watu wazima wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu nchini imepungua kutoka asilimia 80 ya mwaka 1961 hadi kufikia asilimia 77 . Hali hii imesababisha Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuanzisha program mbalimbali kuwawezesha kundi…

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Oktoba 12, 2023 imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Seleman Mjema (50), mkulima na mkazi wa Mikungani wilayani Arumeru baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri…