JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

NMB yapata faida kabla ya kodi ya sh 569 robo ya tatu ya mwaka 2023

Faida Baada ya Kodi ya TZS Bilioni 398, ikiwa in ukuaji wa asilimia 22% mwaka hadi mwaka *Jumla ya mali zote zimefikia TZS Trilioni 11.5, ikiwa ni ukuaji wa asilimia 22 mwaka hadi mwaka Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es…

Biteko awasilisha bungeni azimio la Tanzania kuridhia mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency –…

Naibu Waziri Mwanaidi : Serikali kutekeleza jitihada zinazolenga usawa wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023…

Dk Tulia awashukuru Watanzania kutokana na ushindi wake wa IPU

Na Dotto Kwilasa,Jamhuri jamhuriMedia, Dodoma Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson amewasili Jijini hapa leo Oktoba 30,2023 akitokea jijini Dar es Salaam na kulakiwa na vingozi mbalimbali wa chama na Serikali pamoja…

MSD yakabidhi vifaa tiba vya mil. 200/- kwa kituo cha afya cha Kifanya Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe BOHARI ya Dawa (MSD), Kanda ya Iringa imekabidhi vifaa tiba katika kituo cha afya cha Kifanya Halmashauri ya Mji wa Njombe mkoani humo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 200. Kituo hicho cha afya…