Month: October 2023
Vijiji 6 vyasalia kuunganishwa umeme Singida
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika Jimbo la Singida Kaskazini Vijiji 6 vimesalia kuunganishwa na umeme kati ya vijiji 84 vya jimbo hilo. Amesema hayo wakati akisalimia wananchi katika Kijiji cha Sagara, wakati wa ziara ya Rais…
Serikali ya Rais Samia na mpango wa kubadili fikra, mitazamo na utendaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedua, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita inayooongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, imelenga kubadilisha fikra, mitazamo na utendaji wa wataalamu ngazi ya Msingi ili wananchi wawe kitovu cha maendeleo…
‘Elimu ya watu wazima itiliwe mkazo kukabiliana na changamoto ya watu wazima wasiojua kusoma’
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameagiza watendaji, maofisa elimu ya watu wazima kuhakikisha wanatilia mkazo suala la elimu kwa watu wazima ili kuendana na program na Mipango ya serikali kuboresha elimu…
Wanaosafirisha mifugo nje ya nchi watakiwa kuacha kununua mifugo katika minada ya awali
Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi Wafugaji na wafanyabiashara wote nchini wanaosafirisha mifugo kwenda nje ya nchi wametakiwa kuacha kununua mifugo katika minada ya awali badala yake kwenda kununua kwenye ile ya upili ili kuifanya sekta ya mifugo kuwa kubwa…