JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Milioni 950 zaokolewa kwa watoto 37 kufanyiwa upasuaji Tanzania

Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeokoa kiasi cha shilingi milioni 950 ambazo Serikali ingetumia kama watoto 37 wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo wangepelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu hayo….

Huduma ya kuweka puto sasa inapatikana kote MNH- Upanga & Mloganzila

Baada ya kuimarisha huduma mbalimbali ikiwemo kuweka puto Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa watu wanaopenda kupungua uzito sasa huduma hii pia imeanza kutolewa MNH-Upanga. Hayo yamezungumzwa mwishoni mwa wiki na Daktari Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Mfumo wa Chakula, Ini na…

Simbachawane : Elimu inaongeza uwezo wa kuchambua mambo kisayansi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kibakwe, Mhe.George Simbachawene amewasihi wanafunzi kusoma kwa bidii na kuacha kujidanganya kuwa elimu kwa sasa haina umuhimu kwa kuwa…

NMB yawahakikishia wafanyabiashara uimara wa kukopesha mteja mmoja zaidi ya bil. 300/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia BENKI ya NMB imewahakikishia Wafanyabiashara wakubwa Kanda ya Dar es Salaam wanaohudumiwa na taasisi hiyo, kuwa iko imara kipesa kukopesha mteja mmoja zaidi ya Sh.Bil. 300 na hii ni kutokana na kukua kwa mtaji wa benki…

Mume mbaroni kwa kumuingizia panga mke sehemu ya haja kubwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara lina mshikilia mwanaume mmoja jina limehifadhiwa (56), Muislamu na mkazi wa Kijiji cha Makong’onda Wilaya ya Masasi Kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake Kwa kumuingizia panga sehemu ya haja kubwa….