JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Watatu wakiri kumuua mfanyabiashara na kuchukua mil 1.8/- Rukwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Baraka Markusi Nyangala (30), mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Kasisiwe Manispaa ya Sumbawanga. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa…

Benki ya NMB yazindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia BENKI ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwa ajili ya kuwahudumia wastaafu na wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan. Utaratibu huu ambao lengo lake kubwa ni kusaidia kuenzi mchango mkubwa wa watumishi hawa katika…

Serikali yakanusha uvumi kuhusu uwepo wa kiwanda cha kutengeneza mayai Goba

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inakanusha taarifa za uwepo wa kiwanda cha kutengeneza mayai katika Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Mkoa wa Dar es Salaam ambazo zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Wizara inapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa…

Tanzania kuwasilisha ombi CAF matumizi ya matangazo ya Kiswahili

Na Shamimu Nyaki, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kuweka matangazo kwa lugha ya Kiswahili…