JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Atakaefanya udanganyifu katika biashara faini Sh milioni 1.5

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imewatahadharisha wafanyabiashara wanapotoa risiti za Mashine za Kielektoniki (EFD) kuhakikisha zinakuwa na taarifa kamili na si vinginevyo. Aidha TRA imewataka wateja wanaponunua bidhaa na kupatiwa risiti ya EFD…

Serikali yahimiza nguvu uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KWA kuwa wanawake na vijana ni msingi na chachu ya mabadiliko wa masuala yote ya kiuchumi na kijamii, serikali imetaka wadau wote kushirikiana kuwezesha makundi hayo kuchangamkia fursa zinazoambatana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)….

Regina na simulizi alivyoaga umaskini, aomba andolewe TASAF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Itilima Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Regina Malisa (52,) ameomba aondolewe kwenye mpango huo baada kuanzisha mradi unaomwezesha awe na uhakika wa kujiingizia kipato. Regina mkazi…

Makamba awasili Algeria kushiriki mkutano wa 20 wa Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic ulioanza leo Oktoba 16 – 18 2023, Jijini Algiers,…

Rais wa Urusi awasili China kujadili vita ya Israel

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amewasili China kukutana na rafiki yake Rais Xi Jinping katika kuimarisha uhusiano wao na kujadili zaidi vita vya Israel na kundi la Palestina la Hamas, mtandao wa India Today umeeleza. China wiki hii inakaribisha wawakilishi…

Rais Samia : Singida haitashuka asilimia 97 upatikanaji wa umeme Desemba 2023

Shilingi Bilioni 72 kutekeleza miradi ya umeme mkoani humo Zuena Msuya na Mayloyce Mpombo, Singida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo mwaka 2024 Mkoa wa Singida hautashuka asilimia 97 ya upatikanaji wa…