Month: October 2023
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha VETA Igunga mkoani Tabora
VYUO 64 vya Ufundi Stadi (VETA) vitajengwa nchi nzima, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya serikali kujenga vyuo hivyo kila wilaya nchini. Hayo yamesemwa leo Oktoba 17, 2023 na Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya kuweka jiwe…
Wizara ya Afya yawasilisha mapendekezo ya kuanzishwa kwa Taasisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wizara ya Afya leo Tarehe 17/10/2023 imewasilisha mapendekezo kuhusu azimio la kuridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Taasisi ya Dawa ya Afrika (Treaty for the Establishment of the African Medicines Agency AMA) kwa Kamati ya Kudumu ya…
Uchumi wa Buluu ni dhana inayochagiza ukuaji uchumi
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inaendelea kutunga Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu na Mkakati wake wa utekelezaji kwa lengo la kuweka mfumo jumuishi wa usimamizi na uendelezaji wa rasilimali zake ili kukuza uchumi wa nchi na…
Kwa mara ya kwanza JKCI Dar Group wafanya upasuaji wa moyo
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Samweli Rweyemamu akimfanyia upasuaji wa tundu dogo kuondoa maji yaliyopo katika mfuko wa kutunza moyo mgonjwa ambaye moyo wake umejaa maji hivi karibuni…