JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

TANROADS Pwani yaanza matengenezo kinga kujihadhari na mvua za El nino -Mhandisi Baraka

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAKALA wa Barabara mkoani Pwani (TANROADS), imeanza kuchukua tahadhari ya ujio wa mvua ya el nino ikiwa ni hatua za awali kufungua kingo katika madaraja 318 na makaravati 1,540. Akitembelea kuona kazi zinazofanywa kwenye baadhi…

MAIPAC yaeleza changamoto za jamii za pembezoni mkutano wa Afrika

*Kuendelea kushirikiana na Serikali , wahisani na Asasi za Kiraia Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,[email protected] Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC ) imeeleza changamoto za kihistoria za Jamii za pembezoni nchini na kueleza itaendelea kushirikiana na Serikali na wahisani…

Washiriki 500 wakiwemo asasi za kiraia, sekta binafsi kushiriki wiki ya AZAKI Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia Washiriki wapatao 500 wakiwemo wadau wakuu wa maendeleo wa Asasi za kiraia pamoja na Sekta Binafsi, wanatarajiwa kushiriki katika wiki ya Asasi za Kiraia (AZAKI), itakayofanyika kuanzia Oktoba 23 hadi 27, 2023 Jijini Arusha. Mkurugenzi Mtendaji…

Maji ya SUMAJKT yatinga hadi majumbani

Na Alex Kazenga Dar es Salaam. Kampuni ya SUMAJKT Bottling Co. Ltd inayozalisha maji ya Uhuru Peak Pure Drinking Water, imetanua bidhaa hiyo na sasa kiwanda hicho kitazalisha hadi maji makubwa kwa ajili ya maofisini na majumbani. Kiwanda hicho kilichopo…