JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Masoko kuvutia uwekezaji uwekezaji wa viwanda vya bidhaa, tiba, dawa

Na. WAF Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo imejipanga kuwavutia wawekezaji wa viwanda vya ndani vya dawa kwa kutengeneza masoko ya bidhaa tiba na dawa zitakazo zalishwa Nchini. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu…

Majaliwa anadi vivutio vya uwekezaji Italia, abainisha msimamo wa Rais Samia.

Na OWM Milan Italia. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa kuwa Tanzania ina malighafi za kutosha pamoja na uwepo wa masoko ya uhakika…

Dkt. Biteko na Naibu Waziri Kapinga wafanya kikao cha kimkakati

Dodoma. Mipango ya kuboresha Sekta ya Nishati yajadiliwa Leo Oktoba 19, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kuhusu Masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Nishati lengo…

Picha: Rais Samia ‘Kwaherini Tabora’

Habari Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amekamilisha ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi katika mkoa wa Tabora leo Oktoba 19, 2023.

Kanuni mpya kusimamia ununuzi tiketi mtandao, zanukua.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imesema kuwa inaandaa Kanuni mahususi kwa ajili ya kusimamia ununuzi wa tiketi za abiria kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na kuweka masharti kwa watoa…

Watoa huduma za Afya Muhimbili zingatieni sheria, kanuni, miongozo na maadili.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar Es Salaam. Watoa huduma za Afya wameaswa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na miiko ya maadili wanapotoa huduma kwa wananchi kwani Sekta ya Afya inaoongozwa na nyenzo hizo ili kumlinda mtoa huduma na anayehudumiwa. Hayo…