JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Shule ya St Mary’s kuunganishwa na Maktaba Kuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili wanafunzi wa shule hiyo wapate fursa ya kusoma vitabu mbalimbali kwa namna rahisi. Ahadi hiyo ilitolewa…

Wiki ya AZAKI kuboresha teknolojia nchini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Kutokana na mabadiliko ya kidigitali kubadilisha mifumo kwa kiasi kikubwa katika jamii na pia kuwa na uwezo wa kuendelea kuleta mabadiliko mengine zaidi, wiki ya Asasi za Kiraia mwaka huu inayotarajiwa kuanza kesho jijini Arusha…

#BreakingNews:Sophia Mjema aondolewa ukatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM.

Na mwandishi Wetu Jamhuri media, Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huo Sophia Mjema alikuwa…

Uongozi na umahiri wa Prof. Janabi vyampa kukubalika kwa CEOrt

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es salaam. Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa mashirika binafsi na Serikali (CEOrt) umempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi kutokana na uongozi wake mahiri wa kuiboresha…

Rais Samia atoa salamu za rambirambi Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa…