JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2023

Tanzania inathamini ushirikiano kati yake na Qatar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo terehe 23 Oktoba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Fahad Rashid Al-Muraikhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika Mazungumzo hayo Makamu…

Madaktari wa watoto MNH waongezewa ujuzi matumizi ya ultrasound maalum

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Taasisi ya German Society for Tropical Paediatric and International Child Health (GTP) imeendesha mafunzo maalumu ya matumizi ya mashine ya Ultrasound maalumu kwa wataalamu wanaohudumia watoto….

Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Idara ya Menejimenti ya maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa masuala ya maafa nchini ili kuendelea kuwa na mikakati thabiti ya kukabiliana na maafa…

Rais Samia afanya uwekezaji mkubwa kulinda afya za Watanzania

…………………………………………………………………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, RuvumaNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini…