Month: October 2023
Kiwanga: Akili bandia isiende kinyume na maadili ya Mtanzania
Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Wadau wa wiki ya Asasi za Kiraia (AZAKI) ambayo imeanza leo jijini Arusha wamesema licha ya kuihamasisha jamii kupokea teknolojia mpya ya akili bandia lakini watahakikisha haiendi kinyume na maadili ya Mtanzania. Akizungumza na waandishi…
Ummy: Tuongeze kasi ya utoaji elimu na upimaji wa ugonjwa kifua kikuu
……………………………………………………….. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanlaus Nyongo ameishauri Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu (TB) na Ukoma kuongeza juhudi za utolewaji wa elimu kwa jamii na…
Wawili mbaroni kwa kutapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji
Na Mwandishi Maalum Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana…
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo yapokea na kujadili taarifa ya michezo
Na Eleuteri Mangi, WUSM Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya michezo ambayo imewasilishwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Oktoba 23, 2023…
Mradi wa Usanifu wa bwawa la Farkwa wasainiwa, litajaza maji lita milioni 440
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maji imesaini mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya SU-YAPI Engineering Consulting Inc. kwa ajili ya kufanya kazi ya usanifu wa ujenzi wa bwawa la Farkwa litakalojengwa katika Wilaya ya Chemba, ambalo litanufanisha…